Thursday, May 26, 2022
Home Authors Posts by kejo

kejo

41 POSTS 0 COMMENTS

UCHEBE AMKINGIA KIFUA SHILOLE KWA KIBA.

0
Aliwahi kuwa mume wa Shilole,Uchebe Amemkingia kifua mke wake wa zamani baada ya Shilole ku Kerwa na kauli aliyoisema Msanii Ali Kiba kuwa hakumualika...

RUBY:UKIACHWA ACHIKA

0
Msanii wa Bongo Fleva Ruby usiku wa jana Alikua kwenye Tamasha la Bagamoyo Festival, wakati wa performance yake jukwaani alifunguka kuwa ukiachwa unatakiwa kuachika...

OKTOBA 29 KUMBUKIZI YA SIKU YA KUZALIWA HAYATI MAGUFULI.

0
Siku kama ya leo Hayati Rais Dkt.John Pombe Magufuli Rais wa awamu ya tano alizaliwa tarehe 29 ya mwezi wa 10 mwaka 1959.

MAHAKAMA IMEMUAMURU MUSIBA KUMLIPA MEMBE BILIONI 6 KWA KUMCHAFUA.

0
Mahakama kuu ya Tanzania imemuamuru Cyprian Musiba muhariri na mmiliki wa Gazeti la Tanzanite kumlipa Benardo Membe shilingi Bilioni 6 kama fidia kwa kosa...

WAZIRI WA AFYA:WAKIOVUJISHA MITIANI WATAPATA WALICHO KITAFUTA.

0
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dtk.Dorothy Gwajima amesema serikali itawachukulia hatua wote watakaobainika walihusika katika kuvujisha mtihani wa kitaaluma...

MAANDAMANO NA MAPINDUZI YA KIJESHI NCHINI SUDAN

0
JESHI LACHUKUA NCHI BAADA YA KUWAKAMATA VIONGOZI WALIYOUNDA SERIKALI YA MPITO NCHINI HUMO Watu saba wameuawa huku wengine zaidi ya 140 wakijeruhiwa katika makabiliano baina...

WATU 24 WAUWAWA NA 11 KIFUNGO CHA MAISHA KWA KOSA LA...

0
Nchini Syria watu 24 wamehukumiwa kunyongwa na wengine 11 kifungo cha maisha na kazi ngumu kwa kosa la kusababisha moto msituni na kuliita kosa...

MCHEKESHAJI MPOKI AKIJARIBU KUPIGA DEBE

0
Tazama hapa utacheka Hahahaha https://youtu.be/vIDFhJXimzo

FACEBOOK KUBADILISHWA JINA.OCTOBA 28

0
Mmiliki wa Facebook na Instagram Mark Zuckerberg amepanga kubadilisha jina la Facebook,ili kuweza kushikilia soko la mitandao ya kijamii. Mark amesema jina jipya litatangazwa Oktoba...

MAREKANI KUILINDA TAIWAN.

0
Taasisi moja ya wanafikra wenye misimamo ya kulinda mpaka nchini Marekani imeeleza katika andiko lake moja la upembuzi kwamba, kuna ulazima kwa serikali ya...
300FansLike
2,683FollowersFollow
192FollowersFollow
33,200SubscribersSubscribe
- Advertisement -

EDITOR PICKS

error: Content is protected !!