Thursday, May 26, 2022
Home Authors Posts by - -

- -

173 POSTS 0 COMMENTS

UONEVU/UNYANYASAJI KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII.

0
Uwepo wa Mitandao ya kijamii umekua na faida kubwa Kwa watumiaji hususana Kwa wafanyabiashara wa mitandaoni,wanasiasa,wasanii...

CHINA YAITUHUMU MAREKANI MGOGORO WA UKRAINE NA URUSI

0
Ubalozi wa China nchini Russia imeituhumu Marekani kuwa chanzo chamapigano ya kijeshi duniani baada ya Vita vya Pili vya dunia Ubalozi huoumechapisha orodha ya...

URUSI YAKADIRIWA KUTUMIA TRILION 46 KWA SIKU DHIDI YA UKRAINE

0
Haya yanaelezwa na Wachambuzi wa masuala ya vita kwamba Serikali ya Urusi, inatumia takribani paundi bilioni 15 ambazo ni takribani trilioni 46 za Kitanzania...

GOOGLE WAWEKA VIKWAZO KWA URUSI

0
Kufuatia Mgogoro unaoendelea kati ya Nchi ya UKRAINE NA RUSSIA(URUSI) Kampuni ya Google imetangaza kwamba haitaruhusu tena vyombo vya habari vya serikali ya Urusi...

DONALD TRUMP:PUTIN ALITAMBUA UDHAIFU WETU.

0
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump akiwa kwenye runinga ya Fox News amesema mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine yaliyoanza Jumatano usiku wa kuamkia...

FAINI MILLION 5 UKITUMIA NEMBO YA BAKITA KUPOTOSHA

0
Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) limekemea vikali watu wanaotumia nembo ya Baraza hilo kwa kupotosha mabango yenye misamiati yenye maudhui mbalimbali ya Kiswahili kutoka...

MANGE KIMAMBI AMKINGIA KIFUA DIAMOND.

0
Baada ya msanii kutoka Bongo Diamond Platnumz kuandamwa na wadau wa muziki baada ya kuachia Video ya ngoma yake #Gidi na kwenye video...

AL SHABAB WATUMIA $24M KUNUNUA SILAHA,NA KUINGIZA MAPATO $180M.

0
Kundi la kigaidi la al-Shabab nchini Somalia limetumia dola milioni 24(£18m) mwaka 2021 kununua silaha, kulingana ripoti ya taasisi ua Hiraal lenye makao yake...

WASANII WAWAKA GHARAMA KUBWA,KUSHOOT VIVUTIO VYA TAIFA.

0
Muongozaji wa Muziki wa kutazama(Music video Director) Hanscana ameibua mjadala kwenye mitandao baada ya kufunguka juu ya changamoto wanazokumbana nazo katika kutengenmeza video kwenye...

RAIS SAMIA:KUTUKUZWA SI TABIA YANGU

0
"Baba Askofu umeniasa mambo ya kukataa kutukuzwa na mimi nataka nikuahidi kwamba hiyo si tabia yangu, ninajitahidi kujishusha niwe sawa na wengine, maana utumishi...
300FansLike
2,683FollowersFollow
192FollowersFollow
33,200SubscribersSubscribe
- Advertisement -

EDITOR PICKS

error: Content is protected !!