Thursday, May 26, 2022
Home Authors Posts by - -

- -

173 POSTS 0 COMMENTS

MAKAMBA:MWENYE UWEZO WA KULETA MAFUTA KWA BEI NAFUU AJE OFISINI

0
Kwenye kikao cha Bunge leo April 13 Waziri wa nishati na Madini January Makamba amewakaribisha watu wenye uwezio wa kusaidia kuleta mafuta kwa bei...

PAUL MAKONDA AFUNGUKA MAKUNDI YANAYOTAKA KUMUANGAMIZA

0
Aliyewahi kuwa mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amefunguka kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa anafahamu makundi yanayotaka kumuangamiza."Nafahamu kuna mkakati...

JOB NDUGAI BUNGENI KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KUJIUZULU.

0
Leo April 13, 2022 kwa mara ya kwanza baada ya Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai Kujiuzulu Wazifa uo Januari 6,2022 amehudhuria...

WATATU WASHIKILIWA MAUAJI YA MGANGA ,MKE HAUSISHWA.

0
Jeshi la Polisi mkoani Katavi linawashikilia watu watatu waliokodiwa kwa lengo la kutekeleza mauaji ya mganga wa kienyeji aliyejulikana kama Krasii Nyagwida (30) mkazi...

UAPISHO WABUNGE WALIOTEULIWA

0
Spika wa Bunge la Jamuhuri wa Muungano Tanzania Dkt. Tulia Ackson Leo April 5, 2022 bungeni jijini Dodoma,amemuapishaShamsi Vuai Nahodha kuwa Mbunge, baada ya...

KP AENDELEA KUPOKEA PONGEZI KWA KUTENGENEZA GARI LA KWANZA LA UMEME...

0
Mtangazaji na mwanahabari maarufu nchini Masoud Ally Masoud(kipanya) ameendelea kupongezwa na watu kwa kuonyesha uthubutu wake na kuweza kutengeneza gari KP A72 gari ilo...

CHEMICAL ASHANGAZWA NA WANAODAI HAKUSTAHILI TUZO.

0
Mwanamuziki wa Hip hop Chemical ameshangazwa na baadhi ya watu wanaodai kuwa hakustahili kushinda tuzo ya msanii bora wa Hiphop kwa wanawake nchini,na kueleza...

TANZANIA MUSIC AWARD LEO

0
Tuzo za Muziki nchini Tanzania Music Award zinatarajiwa kutolewa leo tarehe 2 ya mwezi April katika Ukumbi wa JNICC kwa washindi wa tuzo hizo...

KINANA APITA BILA KUPINGWA (100%)

0
Mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti Bara,Ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulahaman Omar Kinana amepata Kura za ndio 1875 sawa na 100%,huku Idadi...

YUSUF MAKAMBA: TULIFIKISHWA KWENYE MAADILI

0
"Mimi na Kinana tuliitwa Kamati ya maadili ya CCM na wengine walisema maneno lakini tulisamehewa. Kwa kuwa Kinana utakuwa boss wao usije kusema sasa...
300FansLike
2,683FollowersFollow
192FollowersFollow
33,200SubscribersSubscribe
- Advertisement -

EDITOR PICKS

error: Content is protected !!