Leo April 13, 2022 kwa mara ya kwanza baada ya Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai Kujiuzulu Wazifa uo Januari 6,2022 amehudhuria kwenye kikao cha kwanza cha bunge akiwa kama Mbunge wa Kongwa.

Pichani akiteta jambo na Mbunge wa Ushetu, Emmanuel Cherehani.