Jeshi la Polisi mkoani Katavi linawashikilia watu watatu waliokodiwa kwa lengo la kutekeleza mauaji ya mganga wa kienyeji aliyejulikana kama Krasii Nyagwida (30) mkazi wa kijiji cha Inyonga baada ya kukodiwa na Gwere Nyendo Nyagwida (25) ambaye ni mke wa Krasii Nyagwida.