Home Breaking news UAPISHO WABUNGE WALIOTEULIWA Breaking news UAPISHO WABUNGE WALIOTEULIWA By - - - April 5, 2022 46 0 Facebook Twitter Pinterest WhatsApp Spika wa Bunge la Jamuhuri wa Muungano Tanzania Dkt. Tulia Ackson Leo April 5, 2022 bungeni jijini Dodoma,amemuapishaShamsi Vuai Nahodha kuwa Mbunge, baada ya kuteuliwa kuwa Mbunge na Rais Samia Suluhu Hassan Machi 14 mwaka huu.