Home Burudani CHEMICAL ASHANGAZWA NA WANAODAI HAKUSTAHILI TUZO.

CHEMICAL ASHANGAZWA NA WANAODAI HAKUSTAHILI TUZO.

101
0

Mwanamuziki wa Hip hop Chemical ameshangazwa na baadhi ya watu wanaodai kuwa hakustahili kushinda tuzo ya msanii bora wa Hiphop kwa wanawake nchini,na kueleza kuwa anaistahili tuzo hiyo kwani ametoa kazi nyingi mwaka 2021 na kusikilizwa zaidi mtaani licha ya kutotumia nguvu sana kupromote kazi zake.

spinupdates

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here