Home Breaking news YUSUF MAKAMBA: TULIFIKISHWA KWENYE MAADILI

YUSUF MAKAMBA: TULIFIKISHWA KWENYE MAADILI

70
0

“Mimi na Kinana tuliitwa Kamati ya maadili ya CCM na wengine walisema maneno lakini tulisamehewa. Kwa kuwa Kinana utakuwa boss wao usije kusema sasa na mimi nilipize, Kinana samehe,” Ameeleza Yusuf Makamba, Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha mapinduzi(CCM) leo kwenye mkutano maalumu wa chama hicho Unaoendelea Jijini Dodoma.

Pia ameongeza kuwa KATIBU Mkuu Rais Samia Suluhu Hassan atawabatiza wananchi kwa maji na faraja. Makamba ameyasema hayo wakati akimuombea kura mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Abdulrahman Kinana.

spinupdates

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here