Home Uncategorized KINANA APITA BILA KUPINGWA (100%)

KINANA APITA BILA KUPINGWA (100%)

64
0

Mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti Bara,Ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulahaman Omar Kinana amepata Kura za ndio 1875 sawa na 100%,huku Idadi ya wajumbe waliopiga kura 1875,Idadi ya Kura zilizopigwa 1875 na Idadi ya Kura halali 1875
Kura zilizoharibika na za Hapana Sifuri leo katika mkutano maalumu wa cha icho Jiini Dodoma.

#SPINUPDATES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here