Home Breaking news CHINA YAITUHUMU MAREKANI MGOGORO WA UKRAINE NA URUSI

CHINA YAITUHUMU MAREKANI MGOGORO WA UKRAINE NA URUSI

462
0

Ubalozi wa China nchini Russia imeituhumu Marekani kuwa chanzo cha
mapigano ya kijeshi duniani baada ya Vita vya Pili vya dunia Ubalozi huo
umechapisha orodha ya oparesheni za kijeshi na mashambulizi ya Marekani
dhidi ya nchi nyingine duniani yapata asilimia 81 ya machafuko usababishwa
na Marekani
Katika hali hiyp hiyo nchi ya Marekani na baadhi ya nchi za ulaya duniani
zimelaani oparesheni maalumu ya kijeshi ya Russia dhidi ya Ukraine; Huku
China ilikuwa moja ya nchi chache zilizoamua kutolipigia kura
azimio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa dhidi ya Russia.

Ubalozi wa China mjini Moscow umetuma taarifa katika ukurasa wake wa twitter orodha ya nchi ambazo Marekani imezishambulia na kuakisi hotuba ya Mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa.

spinupdates

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here