Wimbo wa msanii Harmonize Mwaka wangu umepigwa kanisani kwa Nabii Geor Davie,Baada ya nabii huyo kupendezwa na Maneno yaliyoimbwa kwenye wimbo huo kuwa ni maneno mazuri na yanasikilizika.
hata hivyo Nabii hiyo ameeleza kuwa msanii Harmonize uenda akabadilika kwani neema ya Wokovu imekua ikimfuata kwa siku za hivi karibuni.