Home Breaking news PROFESA KITILA: MFUMO WA ELIMU NCHINI UMEPITWA NA WAKATI.

PROFESA KITILA: MFUMO WA ELIMU NCHINI UMEPITWA NA WAKATI.

137
0

Profesa Kitila Mkumbo Mbunge wa Jimbo la Ubungo Amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kuunda tume maalumu ya kuupitia mfumo wa elimu nchini, kwa kuwa mfumo wa sasa umepitwa na wakati.

Akizungumza na gazeti la Mwananchi jijini Dodoma, Profesa Mkumbo amesema mfumo uliopo hauwafundishi wahitimu ujuzi wala stadi zozote za kujitegemea kimaisha, badala yake umelenga kumwezesha mwanafunzi kutoka ngazi moja kwenda ngazi inayofuata.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here