Home Burudani MUME WA DIVA,MAHUSIANO WIKI MBILI HADI NDOA Burudani MUME WA DIVA,MAHUSIANO WIKI MBILI HADI NDOA By - - - February 22, 2022 505 0 Facebook Twitter Pinterest WhatsApp Mume wa mtangazaji wa Wasafi Media Diva the Bawse,Bw.Abdulrazak amefunguka kuwa wametumia wiki mbili tu kuwa kwenye mahusiano hadi kufikia kufunga ndoa. Diva amekua mwanamke wa pili kuolewa na Abdulrazak.