Home Burudani BILLNAS NA NANDY WACHUMBA RASMI,WAPEWA BARAKA ZOTE NA WAZAZI.

BILLNAS NA NANDY WACHUMBA RASMI,WAPEWA BARAKA ZOTE NA WAZAZI.

334
0

Billnas na Nandy Wachumba rasmi.

Msanii wa muziki Billnass amemvalisha Pete rasmi mpenzi wake Nandy ambaye pia ni Msanii mbele ya Familia zao na kuwafanya kuwa Wachumba Rasmi baada ya kukamilisha taratibu zote.

Hata hivyo Ndoa yao inatarajiwa kufanyika Mwaka huu Kabla ya mwezi wa sita.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here