Home Breaking news MBOWE NA WENZIE WAKUTWA NA KESI YA KUJIBU

MBOWE NA WENZIE WAKUTWA NA KESI YA KUJIBU

219
0

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumii Baada ya kusikiliza uamuzi mdogo wa kesi ya uhujumu uchumi, namba 16/2022, inayomkabili Mwemyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe na walinzi wake watatu.chini ya Jaji Joachim Tiganga Mahakama imewakuta Mbowe na wenzake watatu na kesi ya kujibu katika kesi ya ugaidi inayowakabili

Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa Februari 18, 2022 na Jaji Joachim Tiganga anayesikiliza kesi hiyo zikiwa zimetimia siku 202 tangu kesi hiyo ianze.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here