Home Burudani DIAMOND;WASANII WA NDANI TUSHINDANE NA WASANII WA NJE

DIAMOND;WASANII WA NDANI TUSHINDANE NA WASANII WA NJE

135
0

Msanii wa Bongo fleva Diamond ameshauri kupitia ukurasa wake wa instagram kuwa wasanii wa bongo fleva kutoka nchini wanatakiwa kushindanishwa na wasanii wa nje ya nchi ili kuweka manufaa kwa wasanii wanaoimba kiswahili.

“Ni sahihi kushindanisha wasanii nchini lakini ili kukuza tasnia yetu katika medani ya kimataifa tunahitaji kushindanisha wasanii wetu na wasanii wa nje ili kuleta ushindani stahiki utakaoleta changamoto za kweli ili kufanikiwa kwake kukawe na maendeleo na heshima kwa tasnia na taifa letu” ameandika Diamond Plutnumz.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here