Home Micheozo PAUL POGBA KUONDOKA MAN U

PAUL POGBA KUONDOKA MAN U

354
0

Paul Pogba amesema yuko tayari kuhama Ligi ya Premia kwa uhamisho wa bure msimu huu wa joto’,
Kiungo huyo alijiunga na United kwa ada ya rekodi ya dunia wakati huo ya Pauni 89 milioni mwaka 2016 lakini mkataba wake Old Trafford utamalizika mwishoni mwa msimu huu kufuatia kutapa wakati mgumu mara nyingi katika kufanya vizuri zaidi.

Pogba anahusianisha kutakwa na timu ya nchini Ufarasa PSG katika msimu huu lakini kiungo huyo ajaweka wazi kuwa atabakia katika Ligi ya Uingereza au laa!

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here