Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa taarifa yake kwa Umma juu ya mipango ya kuanzisha kiwanda ambacho kitakua kinatengeneza Chanjo ya UVIKO-19 na Maradhi Mengine ndani ya nchi.
Rais Samia Suluhu Hasan amesema Gharama ya kununua chanjo inatarajiwa kuongezeka kutoka bilion 26.1 hadi billion 216 ifikapo mwaka 2030,hivyo hiyo ni sababu tosha ya Tanzania kuanzisha Kiwanda chake.
