Home Breaking news RAIS SAMIA:NASSARI ALITUCHACHAFYA BUNGENI LAKINI KWA SASA ANAFANYA KAZI NZURI

RAIS SAMIA:NASSARI ALITUCHACHAFYA BUNGENI LAKINI KWA SASA ANAFANYA KAZI NZURI

124
0

“Kwa wale msiomjua Joshua Nassari, alikuwa akituchachafya sana bungeni, lakini siku aliposema nimesalimu amri nimeshindwa kushindana na nyie nikamwambia sasa katekeleze uliyokuwa unasema, naskia anafanya vizuri mpeni ushirikiano,” Ameeleza Rais wa Jmauhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Mkoani Mara.

spinupdates

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here