Home Burudani MUNA LOVE KUFUNGUKA ALIYOYAPITIA BAADA YA SURGERY,AWAKANYA WANAOTAKA KUFANYA.

MUNA LOVE KUFUNGUKA ALIYOYAPITIA BAADA YA SURGERY,AWAKANYA WANAOTAKA KUFANYA.

127
0

Mwanadada Maarufu Nchini MunaLove amewashangaza Mashabiki zake baada ya kuwashauri watu kuachana na kufanya upasuaji wa kujiongeza vitu kwenye miili yako,wakati hiivi karibuni alikua akiwashauri watu kufanya hivyo.

Hata hivyo hivi karibuni taarifa zilivuma kwamba mwanadada huyo anaugua kutokana na upasuaji alioufanya hivi karibuni.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here