Home Documentary MTOTO BILIONEA MWENYE UMRI WA MIAKA 9 TU.

MTOTO BILIONEA MWENYE UMRI WA MIAKA 9 TU.

271
0

Mompha Junior kutoka Nchini Nigeria Mtoto mwenye umri wa miaka 9 anatajwa kuwa mmoja wa mabilionea wenye umri mdogo zaidi duniani ambaye anamiliki nyumba na ndege yake binafsi.

Bilionea huyu mwenye umri wa miaka 9 alipewa nyumba yake ya kwanza akiwa na umri wa miaka 6 na hutuma mara kwa mara picha zake nzuri kwenye mtandao wake wa kijamii wa Instagram, akionyesha mtindo wake wa maisha ya kifahari.

Mama yake na Mompha ni mtoto wa mmiliki wa kampuni kubwa ya intaneti ya Nigeria Ismailia Mustafa, ambaye pia anafahamika kwa jina la Mompha.
Cc @bbcswahili

spinupdates

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here