Home Breaking news TCRA YAFUNGIA KIPINDI CHA MCHUNGAJI MWINGIRA.

TCRA YAFUNGIA KIPINDI CHA MCHUNGAJI MWINGIRA.

215
0

TCRA imekifungia kwa miezi mitatu kipindi cha Efatha Ministry cha Mchungaji Josephat Mwingira kinachorushwa kupitia Star TV, kwa kukiuka sheria ya maudhui.

Mamlaka hiyo imesema kipindi hicho kilitumia lugha ya matusi na dharau kwa mamlaka ya juu ya nchi.

spinupdates

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here