Home Breaking news MAMA AWAUA WANAWE NA YEYE KUJIUA,AMUACHIA UJUMBE MUMEWE”ULICHONIFANYIA NAKUAGA BYE BYE BYE”

MAMA AWAUA WANAWE NA YEYE KUJIUA,AMUACHIA UJUMBE MUMEWE”ULICHONIFANYIA NAKUAGA BYE BYE BYE”

184
0

Katika Kijiji cha Katitika kilichopo Kaunti ya Muranga nchini Kenya Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 26,Mama wa Watoto wawili amajiua kwa kujinyonga baada ya kuwaua kwa sumu Watoto wake wawili wa kike (mmoja ana umri wa miaka miwili na mwingine mitano)

Polisi nchini Kenya wamethibitisha na kusema uchunguzi unaendelea na kwamba Mama huyo ameacha ujumbe unaohisiwa umemlenga Mumewe, unaosomeka “Asante Mpendwa wangu kwa ulichonifanyia na nakuaga bye bye bye, niliwatunza Wazazi wako lakini haukujali, Asante Endelea na maisha yako, tafuta mwingine wa kumleta nyumbani kwako lakini kumbuka hakuna atakayeishi kwa amani, nakutakia maisha mema”

spinupdates

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here