Home Breaking news RAIS SAMIA:UMEME ULIPWE KAMA INAVYOTAKIWA.

RAIS SAMIA:UMEME ULIPWE KAMA INAVYOTAKIWA.

133
0

“Kuna maeneo lazima gharama ya umeme ibebe uhalisia unapompangia Tanesco aende akaunge umeme kwa elfu 27 Kwa kila mtu yeye anatoa wapi hizo fedha? hana pa kuzitoa lazima aunge umeme kwa gharama inayopaswa kwa kila mahali, Waziri nenda kasimamie hilo….”

“Juzi nilikua naona watu wanalalamika kwenye TV wameshalipa miezi kadhaa umeme hawaungiwi ukiuliza Tanesco wanasema hatuna nguzo hatuna vifaa Sh 27000 tunafanyaje kwahiyo waziri nenda usimamie watu walipe fedha inayotakiwa”Ameeleza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hasan.

spinupdates

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here