Home Uncategorized AMUUA BOSI WAKE BAADA YA KUULIZWA KWANINI KACHELEWA

AMUUA BOSI WAKE BAADA YA KUULIZWA KWANINI KACHELEWA

265
0

Joseph Muthunga Afisa wa polisi Naivasha Nchini Kenya amemuua bosi wake Sajenti Ayub Polo kwa kumpiga risasi baada ya kuumuuliza kwanini alichelewa kufika ofisini tena huku akiwa amelewa,Tukio hilo limetokea jana Disemba 26 Joseph alimmiminia risasi bosi wake na baadae kukimbilia mafichoni.

Mabaki matano ya risasi yamepatikana eneo la tukio hilo lilitokea katika kambi ya AAPS eneo la Kedong,Makachero mjini Naivasha Maafisa polisi wamefanya msako mkali wakumpata mtuhumiwa huyo na kumpata katika eneo la Gusii mjini Nakuru.Kwa mujibu wa ripoti ya polisi, mwili wa marehemu ulikuwa na majeraha ya risasi kwenye sikio, bega na goti.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here