Home Burudani ALI KIBA”SINA URAFIKI NA HARMONIZE”/”SIJUI DINI YA DIAMOND”

ALI KIBA”SINA URAFIKI NA HARMONIZE”/”SIJUI DINI YA DIAMOND”

283
0

Mwanamuziki maarufu kutoka nchini Tanzania Ali kiba amewasili nchini Kenya,wakati akiwa nchini humo amezungumza na waandishi wa habari na kuulizwa juu ya urafiki wake na msanii Harmonize lakini akajibu kuwa hana urafiki namsanii huyo bali ni msanii mwenzie.

Hata hivyo waandishi hao walitaka kujua kama anampango wa kuanzisha kampuni na michezo ya Bahati nasibu kama msanii mwenzie Diamond Plutnumz lakini Ali kiba aliwajibu kuwa dini yake haimruhusu yeye kufanya hivyo hajui juu ya Dini ya Diamond plutnumz.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here