Home Breaking news JENGA BOMOA WAMACHINGA

JENGA BOMOA WAMACHINGA

254
0

Wafanyabiashara wadogo(Machinga) wa Mbezi louis Jijini Dar es salaam,wamekua wakijenga na kubomolewa vibanda vyao mara kwa mara kwani walitangaziwa kuondoka maeneo hayo ambayo siyo rasmi na wafanye biashara zao kwenye maeneo tengwa.lakini wafanyabiashara ao wameieleza spin Tanzania kuwa maeneo waliyotengewa kufanya biashara hayatoshi kwani wamachinga ni wengi hivyo wanaamua kurudi kwenye maeneo yasio rasmi.

spinupdates

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here