Home Breaking news MH.SALMA KIKWETE APINGA WASICHANA WAJAWAZITO KURUDI MASHULENI.

MH.SALMA KIKWETE APINGA WASICHANA WAJAWAZITO KURUDI MASHULENI.

287
0

Salma Kikwete Mbunge wa Jimbo la Mchinga ametoa Hoja ya kuto kukubaliana na uamuzi wa kuwarudisha Wasichana wanaopata ujauzito mashuleni baada ya kujifungua,na kueleza kuwa kwa kufanya hivyo ni makosa kwani hata mira dini na Desturi za Kitanzania haziruhusu wasichana wadogo kubeba mimba.

“Mimi sikubaliani na swala la mtoto aliyepata ujauzito kurudi shule hata kidogo,hii ni kwa sababu ya Mira,desturi,utamaduni na mazingira pamoja na dini, hakuna dini yoyote inaruhusu mtoto wa kike kupata mimba kabla ya wakati” alieleza Mhe.Salma Kikwete,mbunge wa Mchinga

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here