Home Burudani WEMA:SKENDO HAZIKUNISAIDIA CHOCHOTE,NIMEKUA MNIZOEE.

WEMA:SKENDO HAZIKUNISAIDIA CHOCHOTE,NIMEKUA MNIZOEE.

183
0

Muigizaji maarufu nchini Wema Sepetu ameeleza kuwa skendo hazijawahi kumsaidia kwenye maisha yake kwani mrembo huyo amekua akiandikwa kwenye magazeti na kuonekana sana kwenye mitandao ya kijamii hapo awali tofauti na miaka ya hivi karibuni,

Wema ameongeza kuwa skendo zilimsababishia matatizo mengi hivyo ameamua kuishi maisha mengine kwa kuwa amekuwa tofauti na mwanzo na kuwataka mashabiki zake wamzoee bila skendo.Wema ameeleza hayo kwenye kipindi cha Refresh,Wasafi TV.

spinupdates

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here