Home Breaking news SEIF GADDAFI ASIMAMISHWA KUGOMBEA URAIS NCHI LIBYA.

SEIF GADDAFI ASIMAMISHWA KUGOMBEA URAIS NCHI LIBYA.

190
0

Mtoto wa Mwana siasa maarufu duniani Muammar Gaddafi aliyekuwa rais wa nchi ya Libya,Ndg.Seif al-Islam Gaddafi Aliyekua akigombea urais unaotarajiwa kufanyika uchaguzi tarehe 24 ya mwezi Disemba mwaka huu amesimamishwa na Tume ya Uchaguzi nchini Libya kugombea nafasi hiyo kwa kile kinachodaiwa kuwa Majina yaliyotajwa yameondolewa kwenye orodha ya awali ya wagombea kwa kuwa hayakidhi matakwa na pia wagombea wamekosa kuwasilisha nyaraka zote muhimu.

tume hiyo ya uchaguzi ya HNEC imesema imekataa kumuidhinisha al-Islam anayesakwa na mahakama ya kimataifa ya jinai kwa tuhuma za uhalifu wa kivita. al-Islam alikuwa miongoni mwa wagombea wengine 25 ambao majina yao pia yalikataliwa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here