Home Burudani BEKA FLEVA ANUSURIKA KWENYE AJALI.

BEKA FLEVA ANUSURIKA KWENYE AJALI.

196
0

Msanii wa Bongo Fleva Beka Fleva Amenusurika kuumia kwenye ajali aliyoipata siku ya jana majira ya usiku akiwa anatoka studio,kupitia ukurasa wake wa Instagram alithibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kushukuru Mungu kwa kutoka akiwa mzima.

“Wakati natoka studio usiku huu nimepata kaajari cha ajabu sana yani ata sijuhi ilikuakuaje gafla tu nimejikuta hapo kikubwa nimetoka mzima kabisa 🙏🙏 Mungu Mkubwa sanaaaaa 🙏🙏🙏🙏🙏” Aliandika Beka kwenye ukurasa wake wa Instagram.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here