Mkuu wa MKoa wa Dar es salaam Amosi Makalla amezindua kampeni ya mkakati wa usafi kwa mkoa wa Dar es salaam.Ambapo SAFISHA PENDEZESHA DAR ES SALAAM imekua kauli mbiu ya Mkakati huo wa usafi huku Harmonize na Alikiba wakiwa ni Mabalozi wa Mkakati huo.