Home Breaking news RAIS SAMIA KWENYW MAADHIMISHO YA MIAKA 50 HOSPITALI YA BUGANDO.

RAIS SAMIA KWENYW MAADHIMISHO YA MIAKA 50 HOSPITALI YA BUGANDO.

184
0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 18 mwezi Novemba Amewasili jijini Mwanza katika Hospitali ya Bugando kwa ajili ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Hospitali ya Bugando.

Katika maadhimisho hayoPia rais Samia Amekata utepe kuzindua rasmi huduma ya MRI.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here