Serikali ya Wilaya ya Temeke
chini ya Mkuu wa Wilaya Jokate Mwigelo kesho tarehe 19 mwezi Novemba anatarajia kuzindua Temeke Gulio,Gulio la aina yake ambalo litawapa fursa wafanyabiashara wadogo wa wilaya ya Temeke kuuza na kutangaza bidhaa zao mbele ya Maelfu ya Wakazi wa Dar es salaam.