Home Breaking news MAKAMU WA RAIS MPANGO AMEZUNGUMZA NA WATANZANIA SINGAPORE

MAKAMU WA RAIS MPANGO AMEZUNGUMZA NA WATANZANIA SINGAPORE

200
0

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango
leo amezungumza na watanzania waishio nchini Singapore, mazungumzo yaliolenga kusikiliza changamoto zinazowakabili pamoja na kusikiliza ushauri na maoni yao kwa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mhe.Mpango yuko Sentosa Island Nchini Singapore kushiriki mkutano wa Jukwaa la Majadiliano ya Kiuchumi(Bloomberg New Economy Forum 2021 ) wenye lengo la kujadili masuala mbalimbali ikiwemo muelekeo mpya wa kiuchumi baada ya athari za Uviko19.

#spinupdates

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here