Home Breaking news RAIS WA ZAMANI AFRIKA KUSINI AFARIKI DUNIA

RAIS WA ZAMANI AFRIKA KUSINI AFARIKI DUNIA

161
0

FW de Klerk rais wa zamani wa Afrika Kusini na mzungu wa mwisho kuiongoza nchi hiyo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85.

Bw de Klerk, ambaye pia alikuwa mhusika mkuu katika kipindi cha mpito cha taifa kuelekea demokrasia, alikuwa amepatikana na saratani mwaka huu, kulinagana na msemaji.

spinupdates

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here