Home Uncategorized WAZIRI WA FEDHA:MSIFANYE TAHMINI YA MKOPO KAMA TUMEBAMBIKIWA.

WAZIRI WA FEDHA:MSIFANYE TAHMINI YA MKOPO KAMA TUMEBAMBIKIWA.

208
0

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba akiwa bungeni jana wakati akihitimisha Mapendekezo ya Mwongozo wa Mpango wa Taifa wa Maendeleo kwa mwaka wa fedha 2022/2023 mewataka wanaohoji kuhusiana na deni la Taifa kutofanya tathimini kama wamebambikwa bali wafanye hivyo huku wakiangalia miradi iliyofanyika kutokana na mikopo hiyo.

kwani wanayo orodha ya ndefu ya miradi ambayo imefanyika kwa kutumia fedha hizo za mikopo nchini.
“Niwaombe Watanzania hasa sisi ambao ni viongozi tusianzie mbali sana tuanzie wakati deni la Taifa likiwa kiwango cha Sh10 trilioni.Halafu tuanze kuangalia katika mwaka 1995 deni lilikuwaje halafu tuangalie pia na miradi ambayo ililetwa na fedha zilizokopwa,” alieleza Dkt.Mwigulu Nchema.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here