Home Burudani JAY Z AJITOA INSTAGRAM

JAY Z AJITOA INSTAGRAM

286
0

Baada ya Nguli wa Hip Hop Jay z kujiunga na mtandao wa iInstagram siku ya jana na kupata followers Million 2 ndani ya saa 24 huku akiwa na Post Moja tu ya Movie yake Mpya iliyotoka jana ya “The Harder They Fall”

Jay z amefuta account yake ya instagram muda mfupi baada ya ku-Premier Movie hiyo, huku ikitajwa kuwa Kuingia kwake Instagram ilikuwa ni kwaajili ya promotion ya movie hiyo.

#spinupdates

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here