Home Comedy MAHAKAMANI KWA KUMTUMIA MKE WA MTU “BABE”

MAHAKAMANI KWA KUMTUMIA MKE WA MTU “BABE”

315
0

MKE WA MTU SUMU.

Jamiu jamaa kutoka nchini Nigeria Amejikuta kwenye msala Baada ya kumtumia ujumbe uliosomeka “Good morning babe” Mwanadada Opeyemi Adegbesan ambaye ni mke wa Akintunde Adegbesan.

Katika kesi iliyofunguliwa Jumatano, Oktoba 20, Jamiu, mkazi wa Ijebu Ode, katika jimbo la Ogun nchini Nigeria, ameshtumiwa kwa kumuita Opeyemi Adegbesan mpenzi akimtumia ujumbe wa kumsalimia asubuhi.

Jamiu anakabiliwa na mashtaka ya utovu wa nidhamu ambao unaweza kuvunja amani katika ndoa ya Opeyemi na mume wake Akintunde Adegbesan.

#spinupdates

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here