Home Comedy SUFURIA ILIYOZUA GUMZO.

SUFURIA ILIYOZUA GUMZO.

323
0

Kijana mmoja kutoka kutoka nchini Nigeria amepata pongezi nyingi sana baada ya kutengeneza sufuria yenye uwezo wa kupika vyakula aina 2 kwa wakati mmoja.

watu wengi kwenye mitandao ya kijamii walimpongeza na kusema kuwa amefanya jambo zuri na sufuria hizo zitapunguza matumizi ya gesi kwani gesi imepanda bei,hivyo sufuria hiyo itawasaidia kupika aina mbili za chakula kwa wakati mmoja.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here