Home Breaking news JOKATE AFURAHISHWA NA WAMACHINGA WALIOHAMIA SOKONI NA KUNUNUA VITU VYA ZAIDI YA...

JOKATE AFURAHISHWA NA WAMACHINGA WALIOHAMIA SOKONI NA KUNUNUA VITU VYA ZAIDI YA MILLION 1.

345
0

Mkuu wa wilaya ya Temeke Jokate Mwigelo amewapongeza wamachinga waliotii agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla la kuhama maeneo yasiyo rasmi na kuhamia maeneo yaliyotengwa kwa ajili yao ikiwemo masoko yaliyojengwa.

Jokate amesema hayo alipotembelea Soko la Makangarawe ambapo aliwataka kuendelea kujipanga kwani Serikali ina mipango mingi kwa ajili ya kuwawezesha wamachinga hao ili kujiinua kiuchumi ikiwemo kutoa mikopo.

Hata hivyo amewahaidi wafanyabiashara hao kutoa milioni moja na laki tano kama juhudi za kuwaunga mkono kwa kitendo cha wafanya biashara kuunga mkono serikali kwa kutii amri ya kutoka barabara na kuenda masokoni.

Tazama hapa zaidi mambo yalivyokuwa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here