Home Breaking news MBOWE NA WENZAKE WASOMEWA MASHTAKA

MBOWE NA WENZAKE WASOMEWA MASHTAKA

214
0

Leo Agosti 23, 2021 Kesi ya Uhujumu Uchumi na Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Wenzake watatu wameitwa chini ya hati ya dharura ambapo wamesomewa maelezo ya Mashahidi na Upande wa mashtaka.

TAZAMA ZAIDI HAPA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here