Home Breaking news BURIANI KASHASHA

BURIANI KASHASHA

188
0

Mwalimu Alex Kashasha amefariki Dunia leo saa 9 alasili katika Hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam.

Kashasha alikuwa amelazwa Hospitalini hapo wiki mbili zilizopita mpaka umauti ulipomkuta akiwa anapatiwa matibabu.

Kashasha alikuwa amelazwa Hospitalini hapo wiki mbili zilizopita mpaka umauti ulipomkuta akiwa anapatiwa matibabu.

Akithibitisha kifo hicho Silla Jackson aliyejitambulisha kama rafiki wa familia amesema, taarifa za kufariki kwa Kashasha ni za kweli na sasa wanatarajia kukaa kikao cha familia.

Amesema marehemu amefariki kwa tatizo la figo lililopelekea kulazwa hospitalini hapo na sasa wanapanga taratibu za maziko.

“Mimi ni rafiki wa familia yeye hawezi kuongea na simu lakini kama familia ndio tunajipanga kutoka hapa hospitali kwenda nyumbani ndio tutajua nini kitaendelea,” amesema ndugu huyo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here